Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 132 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8023 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Nelson Mandela.jpg|thumb|Nelson Mandela]]
 
'''Nelson Rolihlahla Mandela''' alizaliwa tarehe [[18 Julai]], mwaka [[1918]]. Ni rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia nchini [[Afrika Kusini]]. Alikuwa mwanasheria na mwanachama wa [[ANC]] aliyepinga siasa ya ubaguzi wa rangi[[Apartheid]] katika Afrika Kusini. Mandela alitumikia kifungo cha maisha kwa miaka 27 kutokana na harakati zake za kuupinga ubaguzi wa rangi. Alifungwa katika [[kisiwa cha Robben]]. Baada ya kuachiliwa huru mwaka 1990 alianzisha sera ya maridhiano. Mwaka wa 1993, pamoja na [[Frederik Willem de Klerk]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Amani'''.
 
{{DEFAULTSORT:Mandela, Nelson}}