Majina ya kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 83 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q36642 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Majina ya kisayansi''' ya [[wanyama]] na [[mimea]] yanatumia [[lugha]] ya [[Kilatini]], lakini pia maneno kutoka [[Kiyunani]].
 
Utaratibu wa [[uainishaji]] ulioanzishwa na [[Carl Linnaeus]] unaendelea kufuatwa hadi leo, hivyo kila mmea au mnyama unapewa jina la kisayansi yenye sehemu mbili: sehemu ya kwanza inataja [[jenasi]] na sehemu ya pili [[spishi]]. Kwa kawaida linafuatwa na [[herufi]] ya kwanza ya jina la [[mtaalamu]] aliyeeleza spishi hiyo kwa mara ya kwanza katika maandiko ya kisayansi.