Tofauti kati ya marekesbisho "Uainishaji wa kisayansi"

46 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
Masahihisho
d (Bot: Migrating 99 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11398 (translate me))
(Masahihisho)
 
== Majina ya Kisayansi ==
Kila spishi ya viumbehai inapewa jina la kisayansi lenye maneno mawili kufuatana na muundo wa uainishaji. Jina la Kisayansi linaanza kwa kutaja [[jenasi]] inayoandikwa kwa herufi kubwa halafu neno la pili kama sehemu maalum ya jina ya spishi ile. Maneno haya huandikwa kwa herufi za italiki. Kwa mabano hufuata jina la mtaalamu wa spishi pamoja na mwaka alikoandika maelezo yake.
 
Kwa mfano [[paka]] anaitwa ''Felis silvestris'' (Linnaeus, 1758)'' na spishi hii inajumlisha paka wa porini na paka wa nyumbani.
* [[Felis]] ni jina la jenasi. Jenasi huandikwa kwa herufi kubwa.
* "silvestris" ni sehemu ya pili la neno; linasema "wa msituni" kwa sababu inaaminiwa ya kwamba asili ya paka hizi zote ni aina ya paka wa porini wa Asia, Ulaya na Afrika Kaskazini.
9,969

edits