Mathias E. Mnyampala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Mathias EugenE. Mnyampala]] alizaliwa 18 Novemba 1917 katika kitongoji cha Muntundya Ihumwa katika Wilaya ya Chamwino, mkoani [[Dodoma]]. Alifariki mjini Dodoma mwaka 1919. Alikuwa mwanasheria, mzalendo wa Taifa la Tanzania na lugha yake [[Kiswahili]], mwandishi na mshairi maarufu.
 
Kufuatana na maoni ya Profesa Madumulla, Mathias E. Mnyampala sasa hivi nchini Tanzania ni ''Jabali Lililosahaulika''. Utafiti wa Vyuo Vikuu vya [[Tanzania]] na ng'ambo, hasa [[Ufaransa]], haukukaa kimya kuhusu kazi yake upande wa Ushairi wa Kiswahili na Historia ya Wagogo wa Tanganyika. Lakini bado matokeo yake yanahitaji kuenezwa.