Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5292 (translate me))
No edit summary
Conrad Conwell,Alizaliwa 13 Dec 1990,ni Mtumishi wa Mungu anayeishi Mjini Morogoro,kwa sasa yupo chuo cha Jordan kilichopo Mkoani Morogoro,ni mwandishi wa Mashairi na hadithi katika magazeti mbalimbali Nchini Tanzania,pia ni mwandishi wa Riwaya ambazo zipo mbioni kutoka,Conrad utumia muda mwingi kufanya kazi zake kwa ajili ya Mungu,mara nyingi amekuwa akiandika mambo mbalimbali katika kurasa zake ya Neema Ya Kristo na kurasa nyingine ni Mwalimu Conrad,Kurasa zake zinazopatikana katika Mtandao wa Faccebook
'''Kamusi elezo''' (pia: '''ensiklopedia''') ni [[kitabu]] kinachojaribu kukusanya [[ujuzi]] wote wa [[ubinadamu]]. Siku hizi, [[Wikipedia]] ni kamusi elezo kubwa zaidi duniani. Zamani (kabla ya uumbaji wa Wikipedia) [[Encyclopedia Britannica]] ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi duniani.
''Maandishi ya italiki''
 
Katika historia zilikuwepo majaribio mbalimbali kukusanya ujuzi wote wa dunia. Mfano bora wa kale ni [[kamusi ya Yongle]] kutoka China iliyotungwa karne ya 14 na wataalamu 2000 na kundikwa kwa mkono katika vitabu 1100.
 
Lakini kamusi elezo au ensiklopedia zilikuwa na athari kubwa sana tangu [[Johannes Gutenberg]] na kupatikana kwa uchapisho vitabu iliyoshusha kabisa bei ya vitabu kwa watu wengi.
 
Ensiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" ya [[Denis Diderot]] pamoja na [[Jean Baptiste le Rond d’Alembert]] pamoja na waandishi zaidi ya 130 katika [[karne ya 18]]. Kamusi elezo hili likawa kati ya vyanzo vya harakati ya [[Zama za Nuru]].
 
{{mbegu-kitabu}}
{{Link FA|de}}
{{Link FA|hy}}