Nematodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 61 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5185 (translate me)
Nyongeza kiungo
Mstari 14:
[[Secernentea]]<br />
}}
'''Nematodi''' ni aina ya [[mnyoo|minyoo]]. Faila yao ni kati ya faila zenye spishi nyingi katika himaya ya wanyama.
 
Kutofautisha na kuainisha nematodi ni kazi ngumu. Hadi sasa spishi 80,000 zimeelezwa kitaalamu. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya spishi inaweza kufikia nusu milioni. Nematodi wengi ni minyoo midogo myeupe au bila rangi inayoishi katika mazingira mabichi.