Hildegarda wa Bingen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Hildegarda wa Bingen, [[O.S.B.]]''', kwa [[Kijerumani]] Hildegard von Bingen, kwa [[Kilatini]] Hildegardis Bingensis ([[Bermersheim vor der Höhe]], [[Dola Takatifu la Kiroma]], [[1098]] hivi<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 9.</ref> - [[Bingen am Rhein]] [[17 Septemba]] [[1179]]).<ref>Bennett, Judith M. and Hollister, Warren C. ''Medieval Europe: A Short History'' (New York: McGraw-Hill, 2001), 317.</ref>, alikuwa [[mwanamke]] [[mmonaki]], [[mwanafalsafa]] na mtunzi wa vitabu vya aina mbalimbali kutoka [[Ujerumani]] wa leo.
Toka zamani [[abesi]] huyo anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] kama [[mtakatifu]].

[[Papa Benedikto XVI]] alithibitisha [[utakatifu]] wake tarehe [[10 Mei]] [[2012]] na kumtangaza [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[7 Oktoba]] 2012.<ref>[http://www.uscatholic.org/news/2012/05/pope-recognizes-hildegard-saint-advances-causes-us-bishop-nun Catholic News Service]</ref><ref>[http://www.catholicculture.org/news/headlines/index.cfm?storyid=14287 Vatican newspaper explains 'equivalent canonization' of St Hildegard of Bingen]</ref>

[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kila mwaka tarehe [[17 Septemba]].
 
==Maisha==
Line 28 ⟶ 32:
 
==Njozi==
Ingawa Hildegarda alisema haiwezekani kuyasimulia aliyojaliwa kujua kwa mwanga wa Mungu kupitia [[hisi]] zake<ref>Schipperges, Heinrich. ''Hildegard of Bingen: Healing and the Nature of the Cosmos'' (New Jersey: Markus Wiener Publishers, 1997), 10.</ref> na alisita kuyashirikisha Hildegard<ref>Maddocks, Fiona. ''Hildegard of Bingen: The Woman of Her Age'' (New York: Doubleday, 2001), 55.</ref> mwaka [[1141]], akiwa na miaka 42, alisadiki Mungu amemuagiza ayaandike yote.<ref>Ruether, Rosemary Radford. ''Visionary Women'' (Minneapolis: Augsburg Fotress, 2002), 8.</ref>
 
Hata hivyo aliendelea kusita<ref>Hildegard von Bingen, ''Scivias,'' trans. by Columba Hart and Jane Bishop with an Introduction by Barbara J. Newman, and Preface by Caroline Walker Bynum (New York: Paulist Press, 1990) 60–61.</ref>