Thomas Aquinas Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marejeo
Mstari 4:
[[Picha:St-thomas-aquinas.jpg|thumb|right|250px|Mchoro wake uliofanywa na [[Carlo Crivelli]]]]
[[Picha:SummaTheologiae.jpg|right|thumb|200px|Ukurasa wa ''Summa theologiae'']]
'''Mtakatifu Thomas Aquinas''' ([[Roccasecca]], katika eneo la watawala wa [[Aquino]], leo katika [[wilaya]] ya [[Frosinone]], [[Italia]], 1224 au 1225 - [[Fossanova]], wilaya ya [[Latina]], Italia, [[7 Machi]] [[1274]]) alikuwa [[mtawa]] wa '''[[Shirika la Wahubiri]]''' na [[upadri|padri]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
Mnyofu, mkimya, aliyekuwa tayari kutumikia, kiutu alipendwa na wote, naye alipendelea watu wa chini, akihubiria mafukara kwa [[usahili]] na [[wema]] hata zaidi ya mara moja kwa siku.
Mstari 16:
Anajulikana hasa kwa vitabu vyake “Jumla ya Teolojia” (kwa [[Kilatini]] ''[[Summa theologiae]]'') na “Jumla dhidi ya Wapagani” (kwa Kilatini ''[[Summa contra gentiles]]'').
 
Alitangazwa na [[Papa Yohane XXII]] kuwa [[mtakatifu]] tarehe [[18 Julai]] [[1323]], halafu na [[Papa Pius V]] kuwa [[mwalimu wa Kanisa]] mwaka [[15671568]]. Kwa Kilatini anaitwa ''Doctor Angelicus'' (''Mwalimu wa Kimalaika'') au ''Doctor Communis'' (''Mwalimu wa wote'').
 
Ni [[msimamizi]] wa [[wanateolojia]], [[wanachuo]], watoaji na wauzaji wa vitabu, [[wanafunzi]] na [[shule]].
Mstari 66:
Mungu wa wema wote, utujalie tutamani motomoto, tutafute kwa busara, tujue kwa hakika na kutekeleza kikamilifu matakwa yako matakatifu kwa utukufu wa jina lako.
 
== Maandishi yake ==
* ''Ad Bernardum''
* ''Aurora Consurgens''
Mstari 97:
* ''Summa contra Gentiles''
* ''[[Summa theologiae]]''
 
==Marejeo kwa [[Kiswahili]]==
* GEROLD SCHMID, Toma na Marieta – ed. Benedictine Publications Ndanda-Peramiho – Peramiho 1978
 
== Viungo vya nje ==