Tofauti kati ya marekesbisho "Teresa wa Mtoto Yesu"

14 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
 
==Njia yake ya kiroho==
“Njia ndogo ya [[utoto wa kiroho]]” aliyoielekeza inafundisha kutimiza sharti la Yesu: “Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia katika [[ufalme wa mbinguni]]” ([[Math]] 18:3). Njia hiyo inatia moyo wa kujitoa kikamilifu kama kikafara kwa [[wokovu]] wa [[ulimwengu]]. Mwenyewe aliifuata hata akasema: “Sijawahi kumnyima chochote [[Mungu]] mwema!”
 
[[Siri]] yake ni [[upendo]], ambao Teresa alitambua ndio [[wito]] wake katika [[Kanisa]]: kuwa [[moyo]] wa [[Mwili wa Kristo]] ili kusaidia viungo vyake vyote kufanya kazi vizuri.