Traveler : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q734223 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
|jina la kipindi = Traveler
|picha =
|maelezo ya picha =
|jina la kipindi_2 =
|aina = [[Maigizo]], [[Mchezo wa kutisha|Kutisha]]
 
|mbunifu = [[David DiGilio]]
|mtunzi = David DiGilio
Line 37 ⟶ 36:
|tv_com_id =
}}
'''''Traveler''''' ni tamthiliya iliyodumu kwa muda mfupi ya [[Marekani|kimarekani]] iliyoanza kuruka hewani [[Mei]] 10, [[2007]] hadi [[Julai]] 18, [[2007]] kupitia [[American Broadcasting Company|ABC]], [[Marekani]]. Traveler ilitayarishwa na [[Warner Bros. Television]].
 
''Traveler'' ilisimamishwa rasmi baada ya episodi nane za kwanza, 18 Julai 2007. Mashabiki walijaribu kuinusuru tamthilia bila mafanikio. David DiGilio, mtunzi, ili kujibu maswali, [[28 Septemba 2007, aliandaa "blogu"<ref>{{cite web|url=http://www.tvguide.com/celebrity-blogs/Closure-19625.aspx|first=David|last=DiGilio|title=Closure|work=David's Traveler Blog|publisher=''[[TV Guide]]''|date=[[2007-09-28]]|accessdate=2008-08-26}}</ref> ambayo ilithibitisha kusimimamishwa rasmi kwa ''Traveler''.
 
==Muhtasari==
Tamthiliya inaanzia kwa Jay Burchell na Tylor Fog, wahitimu wa [[Yale University]] waliojikuta wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa makumbusho ya Drexler, [[New York City|New York]]. Inaonekana rafiki yao, Will Traveler (p.a.k Daniel Taft) amewachezea shere waonekana ni magaidi waliohusika na ulipuaji. Baada ya mlipuko, Traveler anatoweka na hakuna ushahidi wowote unaodhihirisha uwepo wake duniani.
 
Jay na Tyler wanawakimbia [[Federal Bureau of Investigation|FBI]], sababu inayopelekea waonekane kuwa magaidi wazalendo. Wanamkimbilia baba wa Tyler, Carlton, lakini anawashauri watokomee. Wakiwa nje ya mji wao, Jay na Tyler wanachunguza maisha ya nyuma ya Will Traveler wakitumai kuambulia chochote kusafisha majina yao.
Line 64 ⟶ 63:
* {{tv.com show|58473|Traveler}}
 
 
[[Category:2000s American television series]]
[[Jamii:Filamu za Marekani]]
[[Jamii:Televisheni ya kimataifa]]
[[Category:2000s American television series]]