London : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q84 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 4:
|picha_ya_satelite = Tower bridge 01.jpg
|maelezo_ya_picha = Daraja la minara ([[Tower Bridge]]) mjini London
|pushpin_map = Uingereza
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa London katika Uingereza
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
Mstari 22:
'''London''' ni [[mji mkuu]] wa [[Uingereza (nchi)|Uingereza]] na mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14.
 
London ni mahali muhimu kwa biashara na benki kimataifa. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni..<ref name=mostvisits>{{cite news|url=http://www.euromonitor.com/Euromonitor_Internationals_Top_City_Destination_Ranking|title=Euromonitor International's Top City Destination Ranking|first=Caroline|last=Bremner|publisher=Euromonitor International|date=10 Januari 2010|accessdate=18 Oktoba 2010}}</ref> Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.<ref name=london_007>{{cite |url=http://www.heathrowairport.com/assets/B2CPortal/Static%20Files/TopAirports04.pdf |title=Top ten world airports – 2004 |archivedate=2008-03-07 |format=PDF}}</ref>
 
London ina watu wa kutoka tamaduni mbalimbali, dini tofautitofauti, na zaidi ya lugha 300 huzungumzwa jijini London.<ref name=london_006>{{Citation|url=http://www.cilt.org.uk/faqs/langspoken.htm|title=Languages spoken in the UK population|publisher=CILT, the National Centre for Language|archivedate=2008-06-06}}</ref>