Tofauti kati ya marekesbisho "Victoria Falls"

3 bytes removed ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
(ref)
'''Victoria Falls''' au '''Maporomoko ya Viktoria''' ('''Mosi-oa-Tunya''') ni maporomoko ya [[mto Zambezi]] mpakani wa [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].
 
MwendoMto wa Zambezi mwenye upana wa mita 1170 unafika penye ngazi ya mwamba na maji yote yaanguka kimo cha takriban mita 110 yanapoendelea katika kanali ya mwamba mwenye upana wa 120 m pekee. Maporomoko haya ni makubwa katika Afrika.
 
Wenyeji wameiita "'''mosi oa tunya'''" (moshi wa ngurumo) kwa sababu nyunyiza ya maji yaonekana juu ya maporomoko kama wingu la moshi na sauti ya anguko la maji yasikika mbali.<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/550/ |title = Victoria Falls |website = [[World Digital Library]] |date = 1890-1925 |accessdate = 2013-06-01 }}</ref>
Anonymous user