Tofauti kati ya marekesbisho "Simu"

243 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
citation added
(citation added)
'''Simu''' ''(kutoka [[kar.]] <big>سیم</big> sim inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Mamtumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Bimaana ni chombo cha [[mawasilianoanga]]. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].
 
Watu wengi wanaamini kuwa sumu iligunduliwa mnamo 1876 na [[Alexander Graham Bell]].<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/11375/ |title = Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876 |website = [[World Digital Library]] |date = 1875-1876 |accessdate = 2013-07-23 }}</ref> Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama [[Uskoti|Muuskoti]]. Lakini [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 huko Marekani.
historia ya simu haijaingizwa.
 
{{mbegu-sayansi}}
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
== Viunganish vya nje ==
14

edits