Gideon Byamugisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
dNo edit summary
pic
Mstari 1:
[[Picha:Gideon Byamugisha 1.jpg|thumbnail]]
'''Gideon Byamugisha''' ni [[kasisi]] Mwanglikana [[Mganda]] na [[mchungaji]] wa kwanza Mwafrika aliyetangaza wazi ya kwamba ameambukizwa na [[UKIMWI]].
Alizaliwa tar. [[29 Agosti]] [[1959]] Buranga Ndorwa, [[Wilaya ya Kabale]], [[Uganda]] wa Magharibi akasoma ualimu kwenye [[Chuo Kikuu cha Makerere]] akamaliza kwa digrii mwaka 1985.