Mkoa wa Kivu Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 36:
 
'''Mkoa wa Kivu ya Kusini''' ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Liko upande wa Mashariki wa nchi likipakana na nchi ya [[Tanzania]] na [[Ziwa la Tanganyika]]. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,837,779. Mji wake mkuu ni [[Bukavu]].
 
== Makabila na lugha ==
Wakaazi wengi wa Mkoa wa Kivu Kusini ni wa kabila la Washi na lugha yao ya kwanza ni Kishi. Lugha ya taifa inayozungumzwa katika sehemu hiyo ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo ni Kiswahili, hasa lahaja ya Kingwana.
 
== Picha za Kivu Kusini ==