Redio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 115 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q872 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:SABA Radiogeraet.jpg|thumb|right|200px|Redio mnamo 1950]]
[[Image:Radio.jpg|thumb|right|200px|Redio mnamo 2000]]
'''Redio'''Rungoya (au redio) ni chombo (kifaa) kinachopokea mawasiliano kutoka katika kituo cha redio na kuyabadilisha kuwa sauti.
 
Kwa kawaida rediorungoya inapokea kwa njia ya [[antena]] yake [[mawimbi sumakuumeme]] yanayosambazwa na antena ya kituo cha rediorungoya. Kuna pia aina za rediorungoya ambako mawasiliano hufika kwa umbo la alama za umeme katika waya. Mawasiliano ya sumakuumeme yanasambazwa pia kwa njia ya chomboanga au satelaiti lakini njia hii inahitaji vyombo maalumu na antena ya kawaida haitoshi.
'''Redio''' ni chombo (kifaa) kinachopokea mawasiliano kutoka katika kituo cha redio na kuyabadilisha kuwa sauti.
 
Kwa kawaida redio inapokea kwa njia ya [[antena]] yake [[mawimbi sumakuumeme]] yanayosambazwa na antena ya kituo cha redio. Kuna pia aina za redio ambako mawasiliano hufika kwa umbo la alama za umeme katika waya. Mawasiliano ya sumakuumeme yanasambazwa pia kwa njia ya chomboanga au satelaiti lakini njia hii inahitaji vyombo maalumu na antena ya kawaida haitoshi.
 
==Historia==
Mwaka 1886 Mjerumani [[Heinrich Hertz]] alitambua mawimbi ya sumakuumeme. Wataalamu na muhandisi mbalimbali walifanya majaribio katika miaka iliyofuata kutumia mawimbi haya kwa mawasiliano, kati yao Mwitalia [[Guglielmo Marconi]], MwamerikaMmarekani [[Nikola Tesla]] na Mrusi [[Alexander Popov]]. Kila mmoja ametajwa kama "mtu wa kwanza aliyegundua rediorungoya".
 
Kituo cha kwanza cha rediorungoya kilianzishwa na Mholanzi Hanso Schotanus à Steringa Idzerda tar. 6 Novemba 1919 aliposambaza muziki kutoka nyumba yake. Kituo cha kwanza cha kibiashara kilianza kazi mwaka 1920 Marekani mjini [[Pittsburgh]].
 
Katika miaka iliyofuata redio ilisambaa kote duniani. Ni njia muhimu ya kusambaza habari pamoja na utamaduni hasa muziki.