Kikuyu (lugha) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 23:
Kama lugha ya Kibantu ni sehemu ya lugha za Niger-Kongo.
Wasemaji wanaishi kiasili kwenye nyanda za juu za Kenya ya Kati kati ya [[Nyeri]] na [[Nairobi]]. Siku hizi wanapatikana kote Kenya. Lugha ina vikundi vinne vya [[lahaja]] ambazo ni za [[Kirinyaga]],
Gikuyu inafanana kwa kiasi kikubwa na [[Kiembu]], [[Kimeru]] na [[Kikamba]].
==Fasihi na media==
Tangu zamani za koloni Gikuyu imewahi kuandikwa. Vitabu vya kwanza kwa Gikuyu vilikuwa [[Biblia]] na vitabu vya ibada. Tangu uhuru waandishi mbalimbali walianza kuandika. Anayejulikana zaidi ni [[Ngugi wa Thiong'o]] na kati ya riwaya zake iko "Mũrogi wa Kagogo". Waandishi wengine ni [[Mwangi wa Mutahi]] na [[Gatua wa Mbugwa]].
Mjini Nairobi kuna pia [[rungoya]] ya Gikuyu na pia vipindi vya [[
== Viungo vya Nje ==
|