Opera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 103 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1344 (translate me)
Mstari 1:
[[Picha:Arena di Verona AIDA von GuiseppeGiuseppe Verdi (1232258895).jpg|thumb|350px|Opera ya Aida ya [[Giuseppe Verdi]] katika uwanja wa Kiroma mjini [[Verona]], [[Italia]]]]
 
'''Opera''' ni igizo inayoimbwa katika utamaduni wa Ulaya. Waigizaji hawasemi bali huimba maneno yao. Igizo ya opera hufanywa mara nyingi katika nyumba za pekee. Pamoja na waigizaji na waimbaji kuna bendi maalumu.