Tofauti kati ya marekesbisho "Israel"

1 byte added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 204 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q801 (translate me))
}}
 
'''IsraelIsraeli''' ([[Kiebrania]]: '''מדינת ישראל''' - ''Medinat Yisra'el''; [[Kar.]]: '''دَوْلَةْ إِسْرَائِيل''' - ''dawlat Isrā'īl'') ni nchi ya [[Mashariki ya Kati]] kwenye mwambao wa mashariki wa [[Mediteranea]]. Imepakana na [[Lebanon]], [[Syria]], [[Yordani]], [[Misri]] na maeneo chini ya mamlaka ya serikali ya [[Palestina]].
 
Nchi ya kisasa ilianzishwa [[14 Mei]] [[1948]] lakini kuna historia ndefu. [[Mji mkuu]] umekuwa [[Yerusalemu]] tangu 1950 lakini nchi nyingi hazikubali hivyo kwa sababu hali ya sheria ya kimataifa juu ya Yerusalemu haieleweki.
Anonymous user