Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1218 (translate me)
No edit summary
Mstari 23:
}}
 
'''Yerusalemu''' (mara kwa mara pia '''Kudisi''') (kwa [[Kiebrania]] ירושלים ''Yerushalayim'', kwa [[Kiarabu]]: القدس ''al-Quds'') ni mji wa [[Mashariki ya Kati]] wenye pande mbili. Kwa upande mmoja ni [[mji mkuu]] wa [[Israel]]. Kwa upande mwingine [[Yerusalemu ya mashariki]] inatazamiwa kuwa mji mkuu wa [[Palestina]] ingawa imetawaliwa na Israel pia tangu [[1967]]. Israel imetangaza tangu 1980 Yerusalemu yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi za dunia hazikubali azimio hili hivyo balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Yerusalemu.
 
Yerusalemu ina historia ndefu sana. Ni mji muhimu katika dini tatu zinazofuata [[imani]] ya [[Abrahamu]], yaani [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]].