Ali Hassan Mwinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ali Hassan Mwinyi''' (amezaliwa tarehe 8, mwezi wa Mei, mwaka wa 1925, kwenye kisiwa cha [[Unguja]] (Zanzibar). Alikuwaalikuwa Rais wa Pili wa Tanzania kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni [[Mwalimu Julius Nyerere]], na aliyemfuata ni [[Benjamin Mkapa]]. Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa [[Chama Cha Mapinduzi]] (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.
 
Mwinyi alizaliwa kwenye kisiwa cha [[Unguja]] (Zanzibar).
 
Wakati wa urais wa Mwinyi, sera za [[Ujamaa]] zilianza kugeuzwa. Badala yake sera za [[soko huru]] zilianzishwa, masharti ya kuingiza bidhaa kutoka nchi za nje yalipunguzwa na uanzishaji wa biashara ya watu binafsi ulihamasishwa. Mwaka wa 1991, uanzishaji wa vyama vingi uliruhusiwa.
 
Sera za soko huru za Mwinyi zimeendelezwa chini ya Rais Benjamin Mkapa. Mwinyi mwenyewe, baada ya kustaafu, hakujiingiza katika mambo ya siasa tena. Anaendelea kuishi huko [[Dar es Salaam]].
 
[[Category:Marais wa Tanzania|Mwinyi, Ali Hassan]]
 
[[de:Ali Hassan Mwinyi]]
[[en:Ali Hassan Mwinyi]]
[[ja:アリ・ハッサン・ムウィニ]]