Tuzo ya Sao Paulo ya Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+kuboresha makala.
Mstari 1:
'''Tuzo ya Sao Paulo ya Fasihi''' ({{lang-pt|Prêmio São Paulo de Literatura}}) ni tuzo ya fasihi ya Kibrazili ambayo hutolewa kwa ajili ya riwaya zilizotungwa kwa lugha ya Kireno na kuchapishwa nchini Brazil. Tuzo hii ilianzishwa mnamo mwaka wa 2008 na Waziri wa Utamaduni wa [[Jimbo la São Paulo]]. Ijapokuwa si la kale sana kama jinsi zilivyo tuzo zingine za fasihi huko nchini Brazili kama Prêmio Machado de Assis.
'''Tuzo ya Sao Paulo ya Fasihi''' ({{lang-pt|Prêmio São Paulo de Literatura}})
 
Tuzo hii ya São Paulo imechupukia haraka zaidi na kupata sifa kubwa mno. Kwa mfano, mwaka wa 2011, kulikuwa na mawasilisho 221 kwa ajili ya ugawaji wa tuzo.<ref>{{cite web|title=R$200,000 São Paulo Literary Award Shortlist Announced|url=http://publishnewsbrazil.com/2011/06/sao-paulo-literary-award-shortlist-announced/|work=Publish News Brazil|accessdate=16 March 2013}}</ref>
 
==Washindi==
Line 19 ⟶ 21:
| [[2012]] || ''[[Vermelho Amargo]]'' || [[Bartolomeu Campos de Queirós]] || ''[[Os Hungareses]]'' || [[Suzana Montoro]]
|}
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
[[Jamii:Tuzo za fasihi]]
[[Jamii:Tuzo|Sao Paulo ya Fasihi]]