1830 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
Mstari 7:
 
* [[Omani]]/[[Zanzibar]]: Sultani [[Sayyid Said]] anahamisha [[mji mkuu]] wake kutoka Omani kuja Zanzibar. Anavutwa na ardhi yenye rutba na upatikanaji wa kazi ya [[watumwa]] akianzisha kilimo cha [[karafuu]].
* Marekani: [[Kitabu cha Mormoni]] chatolewa na [[Joseph Smith, KijanaMdogo]] anayedai kuwa alitafsiri kitabu kutoka kwa mabamba ya dhahabu aliyopewa na malaika wa Mungu.
* [[14 Juni]] [[Sidi-Ferruch]] ([[Algeria]]): Vikosi vya jeshi la [[Ufaransa]] vinatelemka mwambaoni wa Algeria. Ukoloni wa Ufaransa unaanza.