Mitume wa Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 69 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43412 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
{{Mitume 12 wa Yesu}}
 
[[File:Synaxis of the Twelve Apostles 01.jpg|thumb|200px|''[[Karamu]] ya [[Thenashara]]'' ilivyochorwa huko [[Urusi]] katika [[karne ya 14]], Moscow Museum.]]
'''Mtume''' wa [[Yesu Kristo]] ({{lang-grc|ἀπόστολος|apóstolos|aliyetumwa}}), kadiri ya [[Agano Jipya]], ni mmojawapo kati ya wale wanaume 12 ambao [[Yesu]] aliwateua mapema akawatuma kuhubiri [[Ufalme wa Mungu]].
{{Mitume 12 wa Yesu}}
{{Yesu Kristo}}
'''Mtume''' wa [[Yesu Kristo]] ({{lang-grc|ἀπόστολος|apóstolos|aliyetumwa}}), kadiri ya [[Agano Jipya]], ni mmojawapo kati ya wale [[wanaume]] 12 ambao [[Yesu]] aliwateua mapema akawatuma kuhubiri [[Ufalme wa Mungu]] kwanza kwa [[taifa]] la [[Israeli]], halafu kwa mataifa yote duniani.
 
Baada ya [[kifo]] na [[ufufuko]] wake, hao wakawa viongozi wa [[Kanisa]] ambalo hadi leo linajitambua kujengwa juu yao.
 
Habari zao, lakini hasa za Petro, zilianza kuandikwa na [[Mwinjili Luka]] katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]], ambamo baadaye mhusika mkuu ni [[Mtume Paulo]] aliyedai kuteuliwa na [[Yesu Kristo]] baada ya kufufuka.
 
== Majina ya Mitume ==
Line 39 ⟶ 44:
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Apostles}}
* [http://91.1911encyclopedia.org/A/AP/APOSTLE.htm Apostle] in the 1911 ''[[Encyclopædia Britannica]]''
* [http://www.ccel.org/ccel/schaff/encyc01/Page_239.html Apostle] article from [[Schaff-Herzog Encyclopedia of Religious Knowledge]]