Maria kupalizwa mbinguni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 50 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q162691 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Kanisa Katoliki}}
[[Picha:Tizian 041.jpg|150px250px|leftthumb|right|Mchoro wa [[Tiziano]], katika [[Basilika]] la Santa Maria Gloriosa dei Frari, [[Venezia]], [[Italia]]. Labda mchoro huo wa mwaka [[1516]]-[[1518]] ni maarufu kuliko yote ya [[Kanisa la Magharibi]] kuhusu [[fumbo]] hilo.]]
[[File:Dormition de la Vierge.JPG|thumb|right|200px|Kulala kwa Bikira Maria katika ubao wa pembe la ndovu: kazi ya [[karne ya 10]] au mwanzo wa [[karne ya 11]] ([[Musée de Cluny]], [[Ufaransa]]).]]
'''Maria kupalizwa mbinguni''' ni [[sikukuu]] ya [[Kanisa Katoliki]] inayoadhimishwa kila mwaka tarehe [[15 Agosti]]. Inatokana na [[dogma]] iliyotangazwa na [[Papa Pius XII]] kwa hati ''[[Munificentissimus Deus]]'' ya tarehe [[1 Novemba]] [[1950]] baada ya kusikiliza maoni ya ma[[askofu]] wote.
'''Maria kupalizwa mbinguni''' ni [[sikukuu]] ya [[Kanisa Katoliki]] inayoadhimishwa kila mwaka tarehe [[15 Agosti]].
 
'''Maria kupalizwa mbinguni''' ni [[sikukuu]] ya [[Kanisa Katoliki]] inayoadhimishwa kila mwaka tarehe [[15 Agosti]]. Inatokana naInategemea [[dogma]] iliyotangazwa na [[Papa Pius XII]] kwa hati ''[[Munificentissimus Deus]]'' ya tarehe [[1 Novemba]] [[1950]] baada ya kusikiliza maoni ya ma[[askofu]] wote duniani.
Fundisho hilo la [[imani]] ni kwamba [[Bikira Maria]], mama wa [[Yesu]], alipomaliza maisha yake duniani alichukuliwa [[mwili]] na [[roho]] mbinguni, ashiriki mapema [[utukufu]] wa Mwanae mfufuka kama alivyoshirikiana naye toka mwanzo hata mwisho wa maisha yake.
 
Fundisho hilo la [[imani]] ni kwamba [[Bikira Maria]], mama wa [[Yesu]], alipomaliza maisha yake duniani alichukuliwa [[mwili]] na [[roho]] mbinguni, ashiriki mapema [[utukufu]] wa Mwanae mfufuka, [[Yesu Kristo]] kama alivyoshirikiana naye toka mwanzo hata mwisho wa maisha yake.
 
Fundisho hilo linalingana na lile la [[Waorthodoksi]], ingawa hao hawajalitangaza kuwa dogma. Tarehe hiyo wao wanaadhimisha ya [[Kulala kwa Bikira Maria]].
 
Umoja wa msimamo huo upande wa mashariki na wa magharibi wa [[Kanisa]] unatokana na [[mapokeo]] ya karne za kwanza za [[Ukristo]], yanayoshuhudiwa na [[mababu wa Kanisa]] kama vile [[Efrem wa Syria]], [[Timoteo wa Yerusalemu]], [[Epifanio wa Salamina]], na [[Yohane wa Damasko]].
 
==Marejeo==
{{Commons category|Assumption of Mary}}
* Duggan, Paul E. (1989). ''The Assumption Dogma: Some Reactions and Ecumenical Implications in the Thought of English-speaking Theologians''. Emerson Press, Cleveland, Ohio
* Shoemaker, Stephen J. (2002, 2006). [http://www.oup.com/uk/catalogue/?ci=9780199210749 ''Ancient Traditions of the Virgin Mary's Dormition and Assumption'']. Oxford University Press, Oxford. ISBN 0-19-925075-8 (Hardcover 2004, Reprint), ISBN 0-19-921074-8 (Paperback 2006)
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.vatican.va/holy_father/pius_xii/apost_constitutions/documents/hf_p-xii_apc_19501101_munificentissimus-deus_en.html Hati ''Munificentissimus Deus'']
* [http://www.uoregon.edu/~sshoemak/texts/dormindex.htm Early Traditions of the Virgin Mary's Dormition and Assumption]
 
[[Jamii:Bikira Maria]]