Maria kupalizwa mbinguni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Fundisho hilo linalingana na lile la [[Waorthodoksi]], ingawa hao hawajalitangaza kuwa dogma. Tarehe hiyo wao wanaadhimisha ya [[Kulala kwa Bikira Maria]].
 
Hata baadhi ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]] wana adhimisho la Bikira Maria siku hiyo.
 
Umoja wa msimamo huo upande wa mashariki na wa magharibi wa [[Kanisa]] unatokana na [[mapokeo]] ya karne za kwanza za [[Ukristo]], yanayoshuhudiwa na [[mababu wa Kanisa]] kama vile [[Efrem wa Syria]], [[Timoteo wa Yerusalemu]], [[Epifanio wa Salamina]] na [[Yohane wa Damasko]].
 
==Marejeo==
{{Commons category|Assumption of Mary}}
* Duggan, Paul E. (1989). ''The Assumption Dogma: Some Reactions and Ecumenical Implications in the Thought of English-speaking Theologians''. Emerson Press, Cleveland, Ohio
* Shoemaker, Stephen J. (2002, 2006). [http://www.oup.com/uk/catalogue/?ci=9780199210749 ''Ancient Traditions of the Virgin Mary's Dormition and Assumption'']. Oxford University Press, Oxford. ISBN 0-19-925075-8 (Hardcover 2004, Reprint), ISBN 0-19-921074-8 (Paperback 2006)
Mstari 24:
* [http://www.uoregon.edu/~sshoemak/texts/dormindex.htm Mapokeo ya zamani kuhusu Maria kulala na kupalizwa]
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Bikira Maria]]