Tofauti kati ya marekesbisho "Abuja"

33 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
d
world-gazetteer.com is dead
d (Bot: Migrating 108 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3787 (translate me))
d (world-gazetteer.com is dead)
[[Picha:Locator Map Abuja-Nigeria.png|right|thumbnails|250px|Mahali pa Abuja kule Nigeria]]
 
'''Abuja''' ni [[mji mkuu]] wa [[Nigeria]]. Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa watu 178,462 [http://archive.is/20130105123130/http://www.world-gazetteer.com/wg.php?x=&men=gcis&lng=en&dat=32&geo=-158&srt=npan&col=aohdq&pt=c&va=x]. Mwaka wa 1976, serikali ya Nigeria iliamua kuanzisha mji mkuu mpya badala ya [[Lagos]]. Wakachagua katikati ya nchi, na mipango ya ujenzi ikaundwa chini ya makampuni matatu ya Marekani: PRC Corporation; Wallace, McHarg, Roberts na Todd; na Archisystems. Mipango hiyo ikabadilishwa baadaye na [[Kenzo Tange]], msanifu majengo maarufu wa [[Japani]]. Abuja ikatangazwa rasmi kuwa mji mkuu wa Nigeria tarehe 12 Desemba 1991. Iko mahali pa 9, 10, Kaskazini na 7, 10, Mashariki. [http://earth-info.nga.mil/gns/html/cntry_files.html]
 
Balozi za nchi nyingi zikahamishwa Abuja kutoka Lagos.
3,346

edits