Buku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 18:
''[[Saccostomus]]'' <small>[[Wilhelm Peters|Peters]], 1846</small>
}}
'''BukuMabuku''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[nusufamilia]] [[Cricetomyinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Nesomyidae]] ambao wanafanana na [[panya]], lakini panya ni wanafamilia wa [[Muridae]]. BukuMabuku ni wakubwa kiasi, pengine kushinda panya: wale wa ''Cricetomys'' wana mwili wa sm 25-45, mkia wa sm 36-46 na uzito wa kg 1-1.5; wale wa ''Beamys'' wana mwili wa sm 13-19, mkia wa sm 10-16 na uzito wa g 55-150; na wale wa ''Saccostomus'' wana mwili wa sm 9.5-19, mkia wa sm 3-8 na uzito wa g 40-85. Wana pochi kwa ndani ya mashavu yao ambazo wazitumia kwa kuweka chakula. Hula [[mbegu]], [[tunda|matunda]], [[kokwa|makokwa]], [[mzizi|mizizi]] na [[dudu|wadudu]] na hupenda [[chikichi|machikichi]] sana. Rangi yao ni kijivu hadi kahawia juu na nyeupe chini.
 
==Spishi==