Christian Lous Lange : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 35 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q206446 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Christian Lous Lange.jpg|thumbnail|Christian Lous Lange.]]
 
'''Christian Lous Lange''' ([[17 Septemba]] [[1869]] – [[11 Desemba]] [[1938]]) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya [[Norwei]]. Hasa alijitahidi kupatanisha vyama mbalimbali vya siasa. Mwaka wa [[1921]], pamoja na [[Hjalmar Branting]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''.