Henry Ford : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 108 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8768 (translate me)
https://af.wikipedia.org/wiki/Henry_Ford
Mstari 1:
[[Picha:Henry_ford_1919.jpg|thumb|Henry Ford]]
'''Henry Martin Ford''' ([[30 Julai]][[1863]] - [[7 Aprili]] [[1947]]) alikuwa [[muhandisi]] na mfanyabiashara nchini [[Marekani]]. Alianza kutengeneza magari mawaka 1896 akaunda kampuni ya [[Ford Motor Company]] mjini [[Detroit]].
 
Alianzisha mbinu wa kazi ya kiwandani ulioigwa baadaye kote duniani. Alipasua kila kazi katika ufuatano wa hatua ndogondogo. Kila hatu ilipewa kwa mfanyakazi mmoja. Kwa mfano mmoja alikuwa na kazi tu kuweka tairi kwa gari na mwingine alifunga skrubu za tairi hii. Kwa kupasua mchakato wa kazi aliona ya kwamba kila kila mfanyakazi aliweza kutekeleza shughuli yake haraka zaidi tena kwa makosa machache. Kwa njia hii alifaulu kutengeneza magari haraka zaidi tena kwa bei nafuu kuliko makampuni mengine.