Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1065 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Flag of the United Nations.svg|thumb]]
'''Umoja wa Mataifa''' (UM) ni umoja wa [[nchi]] zote [[dunia]]ni isipokuwa zile zisizotambuliwa kuwa [[dola huru]].
Dhumuni la umoja huu ni kuratibu mahusiano ya kimataifa kupitia [[sheria]] na mikataba ya kimataifa kwenye maeneo kama [[usalama]], [[amani]], [[maendeleo ya jamii]] na ya [[uchumi]], [[haki za binadamu]], [[uhuru]], [[demokrasia]] n.k.
Umoja huu ulichukua nafasi ya [[Shirikisho la Mataifa]] ([[1919]] - [[1946]]).
[[Lugha rasmi]] za UM ni sita: [[Kiarabu]], [[Kichina]], [[Kiingereza]], [[Kifaransa]], [[Kirusi]] na [[Kihispania]].
[[Katibu Mkuu wa UM]] ni [[Ban Ki-moon]] kutoka [[Korea ya Kusini]]. Ban Ki-moon alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu mwaka 2006 akachukua nafasi ya [[Kofi Annan]]. ▼
▲[[Katibu Mkuu wa UM]] anachaguliwa kwa miaka mitano; kwa sasa ni [[Ban Ki-moon]] kutoka [[Korea ya Kusini]]. Ban Ki-moon alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu mwaka [[2006]]
== Muundo wa UM ==
[[File:UN General Assembly hall.jpg|thumb|[[Ukumbi]] wa UM.]]
UM una vyombo
* [[Mkutano Mkuu wa UM]] (United Nations General Assembly)
* [[Baraza la Usalama la UM]] (United Nations Security Council)
Line 19 ⟶ 23:
* [[Baraza la Uchumi na Ustawi wa Jamii la UM]] (ECOSOC)(Economic And Social Council)
Cha sita kilikuwa [[Baraza la Wafadhili la UM]] (Trusteeship Council)
== Vyama vya pekee vya UM ==
Line 28 ⟶ 32:
* [[ILO]] (International Labour Organization)
* [[IMF]] (International Monetary Fund)
* [[UNCTAD]] (United Nations Conference on Trade and Development)
* [[ITC]] (International Trade Centre (UNCTAD/WTO)
Line 40 ⟶ 43:
* [[UN-HABITAT]] (United Nations Human Settlements Programme)
* [[UNRWA]] (United Nations Relief and Works Agency for Palestine Refugees in the Near East)
* [[IAEA]] (Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia) inashirikiana na UM na kutoa taarifa mbele ya Baraza la Usalama hata kama si chini ya katiba ya UM
* [[UNDIO]] ( United Nations Data and Information Organization)
Line 62 ⟶ 63:
** [http://www.un.org/events/panel/ High-level Panel on United Nations Systemwide Coherence]
** [http://www.unric.org The United Nations Regional Information Centre (UNRIC)]
{{mbegu-siasa}}
|