'''Isimu''' (au "maarifa ya lugha") ni sayansi inayochunguza [[lugha]]. Imegawiwa katika matawi mbalimbali:
* [[fonetiki]] kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu
* [[fonolojia]] kuhusu mfumo wa sauti katika lugha fulani
* [[mofolojia]] kuhusu mfumo wa maneno
* [[sintaksi]] kuhusu mfumo wa sentensi
* [[semantiki]] kuhusu maana
== Marejeo ==
* [[TUKI]] 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]
* Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
== Tazama pia ==
* [[Lango:Lugha|Lango la lugha]]
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Isimu|*]]
[[Jamii:Lugha|Isimu]]
[[Jamii:Sayansi|Isimu]]
{{Link FA|bn}}
{{Link FA|gv}}
|