Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 8 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1824726 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Wahaya''' ni Kabila linalopatikana katika [[Mkoa wa Kagera]], Kaskazini Magharibi mwa [[Tanzania]], kandokando mwa [[Ziwa Victoria]]. Lugha yao ni [[Kihaya]]. Kabila la kihaya ndo kabila kubwa katika mkoa wa Kagera kutokana na sensa iliyofanyika siku za karibuni.
Kabila la kihaya ndo kabila kubwa katika mkoa wa Kagera kutokana na sensa iliyofanyika siku za karibuni. Kabira hili ni kubwa, na ndani yake kuna vijikabira vidogovidogo, kama vile waziba wa Kiziba, wahamba wa Muhutwe, wayoza wa Bugabo, wanyaiyangilo wa Muleba, wasubi wa Biharamulo, wanyambo wa karagwe, nk. Utofauti wa vijikabira unatambulika kutokana na rafudhi ya kihaya ya hiyo sehemu, chakula, ngoma zake za asili, majina ya asili, nk.
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Haya}}