Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wahaya''' ni
Kabila hilo ndilo kubwa kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani yake kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa [[Kiziba]], Wahamba wa [[Muhutwe]], Wayoza wa [[Bugabo]], Wanyaiyangilo wa [[Muleba]], Wasubi wa [[Biharamulo]], Wanyambo wa [[Karagwe]] nk.
Tofauti kati ya vijikabira zinatambulika kutokana na [[lafudhi]] ya Kihaya ya hiyo sehemu, [[chakula]], [[ngoma za asili]], majina ya asili, n.k.
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Haya}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
|