Kitabu cha Mormoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
Kufuatana na taarifa za Kitabu watu walihamia kutoka nchi za Biblia mara tatu kwenda [[Amerika]].
 
Kundi la kwanza walikuwa WajaredWayaredi walioondoka Mesopotamia baada ya kukwama kwa [[mnaraMnara wa Babeli]].
 
Mnamo mwaka [[600 KK]] kundi la Wayahudi walioongozwa na nabii Lehi waliondoka [[Yerusalemu]] kabla ya mji kuangamizwa na [[Babeli]] wakajenga jahazi kubwa na kufika katika nchi mpya. Baada ya kifo cha Lehi wafuasi wa wanawe NephiNefi na LamanLamani walianza kugombana na kuwa makabila mawili maadui.
 
WanephiWanefi walikutana baadaye na wafuasi wa MulekMuleki aliyekuwa mwana wa mfalme ZedekiyaZedekia wa Yuda waliokimbia wakati wa anguko la Yerusalemu wa [[587 KK]].
Kitabu cha Mormoni chaenedelea kueleza jinsi [[Yesu]] aliwatembelea WanephiWanefi baada ya ufufuo wake na kuwapa mafundisho ya [[hotuba ya mlimani]] pamoja na [[chakula cha Bwana]].
 
WanephiWanefi na WalamanWalamani waliungana baadaye kwa karne kadhaa na kuishi kwa amani lakini amani hii ikavurugika na WanephiWanefi waliangamizwa kabisa katika vita kali. Kabla ya mwisho wa taifa Mormoni mnamo mwaka 400 BK alipokea maagizo ya Mungu kukusanya habari zote na kuziandika kwa mabamba ya dhahabu yaliyofichwa mahali alipoyakuta Joseph Smith.
 
== Historia au riwaya? ==