BBC : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 91 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9531 (translate me)
kigezo
Mstari 1:
 
[[Picha:BBC.svg|thumb|200px]]
{{rediotv
| jina = British Broadcasting Corporation
| picha = BBC.svg
| maelezo_ya_picha = Nembo la BBC
| mji = London
| nchi = Uingereza
| eneo = Kote duniani
| chanzo = 1922
| mwenyewe = Shirika la umma katika Uingereza
| programu = Redio na TV kwa lugha nyingi
| tovuti = www.bbc.co.uk
}}
[[Picha:BBC Broadcasting House Portland Place.jpg|thumb|BBC Broadcasting House, [[London]]]]
The '''British Broadcasting Corporation''' (BBC) ni shirika la utangazaji la [[Uingereza]]. Shirika hili lilianzishwa mwaka 1922 kwa jina la [[British Broadcasting Company Ltd]] kama kampuni binafsi. Baadaye mwaka 1927 lilibadilishwa hadhi yake na kuwa shirika la umma. BBC ndio shirika kubwa la habari kuliko yote duniani likiwa linatoa habari na taarifa mbalimbali kwa njia ya redio, luninga, na Intaneti.