Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
chimbuko la bongo fleva
d Masahihisho aliyefanya 41.222.181.154 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot
Mstari 1:
[[Image:Nako 2 Nako.jpg|thumb|right|300px| Kundi la [[:en:Hip Hop|Hip Hop]] Kutoka [[Kaskazini]] mwa [[Tanzania]] '[[Arusha]]' ( [[Nako 2 Nako]] )]]
muziki huu ulitambulika miaka ya tisini kutoka kwenye muziki uliojulikana kama swahili rap.wanamuziki wengi wa zama hizo mpaka sasa ambao wanaimba muziki wa bongo flava walianzia kwenye rap music.Ukitazama waasisi wa bongo flava kama vile dully sykes,TID au hata matonya walianza kuimba rap music kabla ya kuingia kwenye haya mahadhi ya kizazi kipya.
 
'''Bongo Flava ''' ni muziki kutoka [[Tanzania]]. Bongo Flava sio staili moja ya muziki, ilamu ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa kwa vijana nchini [[Tanzania]], hasa katika jiji la [[Dar Es Salaam]]. Ni mchangayiko wa R&B, Rap, Hip Hop, na midundo ya asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.bongoflava.com/ Tovuti ya Bongo Flava]
* [http://www.swahiliremix.com/ Tovuti ya Swahili Remix]
* [http://www.mzibo.net/ Tovuti ya Mzibo]
* [http://www.fly.co.uk/fly/archives/africamiddle_east_features/whos_who_in_bon.html/ Nani ni nani katika Bongo Flava?]
* [http://www.mahusiano.com/ Tovuti ya Mahusiano]
* [http://www.bongoradio.com/ Tovuti ya Bongo Radio]
* [http://www.africanhiphop.com/ Tovuti ya African hiphop]
* [http://www.africanizers.i8.com/ Tovuti ya Africanizers Music]
 
{{mbegu-mwanamuziki-Afrika}}
 
{{DEFAULTSORT:Bongo, Flava}}
[[Category:Muziki wa Kizazi Kipya]]