Filemoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Ni maarufu hasa kwa kupokea [[barua]] ya [[Mtume Paulo]] kuhusu [[mtumwa]] wake [[Onesimo]] ambaye alikuwa amemtoroka na labda kumuibia. Kumbe alipokutana na Paulo aliongokea [[Ukristo]]. Hapo alirudishwa kwa Filemoni akileta hiyo barua ambayo baadaye iliingia katika [[Agano Jipya]] la [[Biblia ya Kikristo]] kama [[Waraka kwa Filemoni]].
 
Inaonekana humo kwamba Filemoni alikuwa tajiri wa mji wa [[Kolosai]] ambaye Wakristo wa huko walikuwa wanakusanyika nyumbani mwake kwa ajili ya [[ibada]].<ref>[[Apostolic constitution|Const. Apost.]], VI, 46</ref><ref>Filemoni 1:1-2</ref><ref>{{CathEncy|wstitle=Philemon}}</ref>
 
Inasemekana aliuawa kwa ajili ya [[imani]] pamoja na mke wake na wengineo.