Ujamaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ujamaa''' ni [[siasa]] iliyoanzishwa kwa misingi ya sera za [[Julius Nyerere]] za maendeleo ya kijamii na ya ki[[uchumi]] katika [[Tanzania]] punde tu baada ya [[TanganikaTanganyika]] kupata [[uhuru]] kutoka [[Uingereza]] mwaka [[1961]].
 
Mwaka [[1967]] Rais Nyerere alichapisha mwongozo wa maendeleo yake, ambao uliitwa [[Azimio la Arusha]], ambapo alionyesha haja ya kuwa na mtindo wa Kiafrika wa maendeleo; huo ukawa msingi wa [[Usoshalisti wa Afrika]].
Mstari 20:
 
Kufikia mwaka 1985 ilikuwa wazi kwamba Ujamaa ulishindwa kutoa Tanzania nje ya [[ufukara]] wake; Nyerere alitangaza kuwa atang'atuka asigombee tena [[urais]] katika uchaguzi wa mwaka huohuo.
 
Ujamaa ulivunjwa (ingawa si kinadharia) mwaka 1985 wakati Nyerere alipomwachia mamlaka [[Ali Hassan Mwinyi]] mwakaaliyeingiza nchi katika taratibu za [[1985soko huria]]<ref>{{cite book | title=The basics of economics | author=David Edward O'Connor | pages=100 }}</ref>.
 
==Hoja dhidi yake==
Nyerere alitumia ''Sheria ya Kuzuia Kutiwa Nguvuni'' bila sababu kukandamiza vyama vya wafanyakazi na kuwakamata wapinzani kikatili kupindukia na; walioathiriwa kuhesabiwahuhesabiwa kwakuwa maelfu.
 
Mashirika ya Kimataifa ya kutetea [[haki za binadamu]] kama [[Amnesty International]] yalipiga [[kampeni]] dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania<ref>{{cite book | title=Mwalimu: the influence of Nyerere | author=Colin Legum, G. R. V. Mmari}}</ref>.
Serikali iliwalazimishwa watu kuhamia [[mashamba ya pamoja]], jambo ambalo lilitatiza shughuli za kilimo na uzalishaji.
 
Vyombo vya habari nchini vilidhibitiwa kwa kunyimwa [[usajili]] rasmi.
Tanzania iligeuka kutoka taifa la wakulima waliojitahidi kukidhi mahitaji yao na kuwa taifa la wakulima walioangamia kwa njaa kwa pamoja.
 
Serikali iliwalazimishwa watu kuhamia [[mashamba ya pamoja]], jambo ambalo lilitatiza shughuli za kilimo na uzalishaji.
Serikali iliwapa ahadi ambazo baadaye ziligeuka kuwa uongo.
 
Wengine walilazimishwa, kwa mfano, kwa kuchoma vijiji vyao. Nyumba ziliteketezwa kwa [[moto]] au kubomolewa, wakati mwingine pamoja na mali ambayo familia hizo zilikuwa nayo kabla ya Ujamaa<ref name="porter"></ref>.
Watu walipoteza heshima kwa utamaduni na maeneo kama vile makaburi ya mababu zao<ref name="porter"></ref>.
 
[[Polisi]] na wana[[jeshi]] waliojihami kwa [[silaha]] walitumika katika [[uhamisho]] wa watu<ref name="porter"></ref>.
Tanzania iligeuka kutoka taifa la wakulima waliojitahidi kukidhi mahitaji yao na kuwa taifa la wakulima walioangamia kwa njaa kwa pamoja.
 
Uchumi ulianguka na watu wengi walikuwa karibu kufa [[njaa]]. [[Taifa]] lilinusurika kwa kutegemea msaada ya kigeni ya [[chakula]] ambacho walipewa tu watu waliokubali kujiunga na Ujamaa<ref name="porter"></ref>.
 
Serikali iliwapa ahadi ambazo baadaye ziligeuka kuwa uongo.
Ujamaa ulivunjwa wakati Nyerere alipomwachia mamlaka [[Ali Hassan Mwinyi]] mwaka [[1985]]<ref>{{cite book | title=The basics of economics | author=David Edward O'Connor | pages=100 }}</ref>.
 
Uchumi ulianguka. Kiasi kikubwa cha utajiri wa nchi aina ya mijengo na kuboresha miundo ya [[ardhi]] (mashamba, miti ya matunda, nyua) iliharibiwa au kutelekezwa kwa lazima <ref name="porter"></ref>.
Mashirika ya Kimataifa ya kutetea [[haki za binadamu]] kama [[Amnesty International]] yalipiga [[kampeni]] dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania<ref>{{cite book | title=Mwalimu: the influence of Nyerere | author=Colin Legum, G. R. V. Mmari}}</ref>.
 
Vyombo vya habari nchini vilidhibitiwa kwa kunyimwa [[usajili]] rasmi.
 
Kiasi kikubwa cha utajiri wa nchi aina ya mijengo na kuboresha miundo ya [[ardhi]] (mashamba, miti ya matunda, nyua) iliharibiwa au kutelekezwa kwa lazima <ref name="porter"></ref>.
 
Mifugo waliibwa, kupotea, kupata magonjwa, au kufa<ref name="porter"></ref>.
 
Watu walipoteza heshima kwa utamaduni na maeneo kama vile makaburi ya mababu zao<ref name="porter"></ref>.
 
[[Suleman Sumra]] aligundua kuwa mavuno katika mashamba ya Ujamaa kwa pamoja yalikuwa chini kwa asilimia 33-85 kuliko yale ya mashamba yaliyomilikiwa kibinafsi. Kwa wastani yalikuwa chini kwa asilimia 60. Wakulima wa pamoja hawakuwa na motisha za kufanya kazi<ref name="porter">{{cite book | title=Challenging nature: local knowledge, agroscience, and food security in Tanga | publisher=Philip Wayland Porter }}</ref>.
Line 63 ⟶ 62:
Sekta ya viwanda ikadidimia. Kampuni ya [[mgodi]] iliyomilikiwa na serikali ikaonekana kushindwa<ref>[24] ^ [https: / / www.policyarchive.org/bitstream/handle/10207/9616/89356_1.pdf?sequence=1 Tanzania's travail: Lessons in improving American aid to the Third World]</ref>.
 
[[Benki ya Dunia]] pia imekosolewa kwa kuchangia mpango huo: "Nchini Tanzania, kwa mfano, Benki hii ilitoa fedha kwa kampeni ya [[udikteta]] wa Julius Nyerere unaoitwa Ujamaa, ni mfano wa mfumo wa vijiji wa [[Mengistu]]. Wakulima walipoteza uhuru wao, na nchi ilichukua ardhi yao na kudai mazao yao, yote haya kwa msaada na baraka za [[Benki ya Dunia]]. Katika miaka michache tu, Nyerere aligeuza nchi yake kuwa gofu, taifa la waombaji. Lakini Benki hii haijawahi kukubali makosa haya<ref>{{cite web | url=https://www.policyarchive.org/bitstream/handle/10207/13318/92527_1.pdf?sequence=1 | title=Subsidizing tragedy: The World Bank and the new colonialism | first=Yonas | last=Deressa }}</ref>.
 
==Katika muziki==
Line 83 ⟶ 82:
{{Hoja Kuhusu Tanzania}}
 
[[Category:Maneno na misemo ya Kiswahili]]
[[Category:Historia ya Tanzania]]
[[Category:Uchumi wa Tanzania]]
[[Category:African and Black nationalismUafrika]]
[[Category:Chama Cha Mapinduzi]]