12,067
edits
dNo edit summary |
(Masahihisho) |
||
| picha = Xylocopa caffra Female.jpg
| upana_wa_picha = 300px
| maelezo_ya_picha =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Arthropodi|Arthropoda]] (Wanyama wenye
| nusufaila = [[Hexapoda]] (Wanyama wenye miguu sita)
| ngeli = [[Insecta]] (Wadudu)
*[[Xylocopinae]]
}}
'''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye mabawa manne angavu na mwiba kwenye nyuma ya mwili wao.
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|200px|left|Mwili wa nyuki]]
==
Mwili una pande tatu jinsi ilvyo kwa wadudu wote: [[kichwa]] mbele, [[kidari]] katikati na [[tumbo]] nyuma, halafu jozi tatu za miguu na jozi mbili za mabawa.
Mwili huwa na nywele na ina rangi kali za njano-nyeusi kama onyo
Nyuma ya tumbo wanabeba mwiba wanaotumia kudunga wakijisikia wameshambuliwa. Wakidunga mwiba wanaingiza pia kiasi kidogo cha sumu katika kidonda. Sumu hii inasababisha maumivu na watu wengine wanaathiriwa vikali lakini si kila mtu. Kuna nyuki wanaokufa baada ya kudunga kwa sababu mwiba unabaki kwenye kidonda lakini wengine wanaweza kutoa mwiba na kudunga tena.
Spishi kadhaa za nyuki ni wadudu wa kijamii maana yake wanaishi katika kundi si peke yao kama aina nyingine za nyuki. Wanajenga [[sega]] ya [[nta]] ndani ya [[mzinga wa nyuki]] na humu wanatunza asali yao.
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi
* malkia wa nyuki ni mama wa nyuki wote ndani ya kundi na kazi yake ni kutaga mayai pekee
* nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama vile kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega,
* nyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni
{{commonscat|Bee|Nyuki}}
|