Hippo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 43 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q45942 (translate me)
citation added
Mstari 3:
Mji ulianzishwa kwa jina la Hippo kama [[koloni]] ya [[Wafinisia]] katika karne za [[KK]]. Tangu [[46 KK]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Roma]].
 
Mkazi wake mashuhuri alikuwa Agostino Aurelio aliyejulikana kama [[Agostino wa Hippo]] aliyekuwa askofu wa mji tangu 396 BK. Agostino aliandika hapa sehemu kubwa ya vitabu vyake. Aliaga dunia wakati wa uvamizi wa [[Wavandali]] waliofanya Hippo kuwa mji mkuu wa ufalme wao.<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/8787/ |title = Bona, Algeria |website = [[World Digital Library]] |date = 1899 |accessdate = 2013-09-25 }}</ref>
 
Tangu mwaka [[698]] Hippo ilitekwa na [[Waarabu]] Waislamu waliouharibu wakaunda mji mpya kando la maghofu ulioitwa "Beleb-El-Anab". Jina hili likaendelea kubadilika kuwa "Annaba" wa mji wa leo.
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
[[Jamii:Miji ya Algeria|Annaba]]