Hippo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
citation added
No edit summary
Mstari 1:
'''Annaba''' (zamani: '''Hippo Regius''', [[Kar.]]:عنابة ''anaba'', [[Kifar.]] ''Bône'') ni [[mji]] katika [[Algeria]] kwenye mwambao wa [[Mediteranea]] mwenyewenye wakazi 385,000 ([[2005]]). Kuna chuo kikuu chenye wanafunzi 40,000.
 
Kuna [[chuo kikuu]] chenye wanafunzi 40,000.
Mji ulianzishwa kwa jina la Hippo kama [[koloni]] ya [[Wafinisia]] katika karne za [[KK]]. Tangu [[46 KK]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Roma]].
 
==Historia==
Mkazi wake mashuhuri alikuwa Agostino Aurelio aliyejulikana kama [[Agostino wa Hippo]] aliyekuwa askofu wa mji tangu 396 BK. Agostino aliandika hapa sehemu kubwa ya vitabu vyake. Aliaga dunia wakati wa uvamizi wa [[Wavandali]] waliofanya Hippo kuwa mji mkuu wa ufalme wao.<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/8787/ |title = Bona, Algeria |website = [[World Digital Library]] |date = 1899 |accessdate = 2013-09-25 }}</ref>
Mji ulianzishwa kwa jina la Hippo kama [[koloni]] yala [[Wafinisia]] katika karne za [[KK]]. Tangu [[46 KK]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Roma]].
 
Tangu mwaka [[46 KK]] ulikuwa sehemu ya [[Dola la Roma]].
Tangu mwaka [[698]] Hippo ilitekwa na [[Waarabu]] Waislamu waliouharibu wakaunda mji mpya kando la maghofu ulioitwa "Beleb-El-Anab". Jina hili likaendelea kubadilika kuwa "Annaba" wa mji wa leo.
 
Mkazi wake mashuhuri alikuwa Agostino Aurelio anayejulikana kama [[Agostino wa Hippo]], [[askofu]] wa mji huo tangu mwaka [[396]] BK.
 
Agostino aliandika huko sehemu kubwa ya vitabu vyake.
 
Mkazi wake mashuhuri alikuwa Agostino Aurelio aliyejulikana kamaAliaga [[Agostino wa Hippodunia]] aliyekuwa askofu wa mji tangu 396 BK. Agostino aliandika hapa sehemu kubwa ya vitabu vyake. Aliaga dunia wakati wa [[uvamizi]] wa [[Wavandali]] waliofanya Hippo kuwa [[mji mkuu]] wa [[ufalme]] wao [[Afrika kaskazini]].<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/8787/ |title = Bona, Algeria |website = [[World Digital Library]] |date = 1899 |accessdate = 2013-09-25 }}</ref>
 
Tangu mwaka [[698]] Hippo ilitekwa na [[Waarabu]] [[Waislamu]] waliouharibu wakaunda mji mpya kando laya maghofu ulioitwa "Beleb-El-Anab". Jina hili likaendelea kubadilika kuwa "Annaba" wa mji wa leo.
 
Jina hili likaendelea kubadilika kuwa "Annaba" wa mji wa leo.
 
==Marejeo==