Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

105 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 146 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11451 (translate me))
'''Kilimo''' ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamaba. Kilimo kina maana pana inayojumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na [[ufugaji]] wa wanyama.
 
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi mavuno hasa kwa uzalishaji wa chakula cha kibindadamu na lishe ya wanyama lakini pia kwa shabaha ya kupata malighafi mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza nguo za watu. Siku hizi kilimo kinalenga pia [[nishati ya mimea]].
Anonymous user