Tofauti kati ya marekesbisho "Mnavu"

235 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
Solanum americanum
(Ukurasa mpya)
 
(Solanum americanum)
}}
'''Mnavu''' au '''mnafu''' (''Solanum nigrum'') ni [[mmea]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Solanaceae]]. Kwa kawaida huu ni mmea wa pori, lakini unapandwa mahali pengi katika [[Afrika ya Mashariki]]. Mingi ya mimea ya pori ina [[sumu]], [[tunda|matunda]] mabichi hasa. Kula kwa [[beri]] bichi na mara nyingi [[jani|majani]] pia kunaweza kusababisha kifo cha [[mtoto|watoto]] na [[ufugaji|mifugo]]. Lakini aina za mnavu zinazopandwa zinaweza kuliwa baada ya kuzipika. Matunda mabivu yanaweza kuliwa kwa kawaida bila kupikwa, aina zenye matunda mekundu au yenye rangi ya machungwa hasa (rangi ya kawaida ni nyeusi).
 
Kuna [[spishi]] nyingine, ''Solanum americanum'', ambayo imewasilishwa katika [[Afrika]] na ambayo inafanana sana na ''S. nigrum''. Watu wengi hawawezi kulinganua spishi hizi na mbili zote huitwa mnavu. Hata ''S. americanum'' hulika.
 
==Picha==
10,713

edits