Mkoa wa Katavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
== Wakazi ==
[[Kabila]] kubwa ni lile la [[Wafipa]], na [[dini]] yao kwa kiasi kikubwa sana ni [[Ukristo]] wa [[madhehebu]] ya [[Kanisa Katoliki]].
Ni kweli hilo ndilo kabila kubwa lakini kuna jamii ya kabila la Wapimbwe ambalo linapatikana katika maeneo ya Tarafa ya Mpimbwe ambalo kwa kiasi kikubwa ndio hasa wenyeji wa mkoa huu mpya wa Katavi ambalo kwa asili linapatikana katika vijiji vya Mamba, Mpimbwe na Majimoto. Kama utafuatilia vizuri katika kijiji cha Mamba kuna kivutio kizuri ambapo kubwa bwawa la asili la maji ya moto na hayapoi muda wote ni ya moto iwe mchana au usiku. Kiukweli mimi mwenyewe nina asli ya mpimbwe lakini sema mizunguko ya maisha. Kabila lingine ni wakonongo ambao nao wanatokea mkoa huu mpya.
 
== Viungo vya nje ==