Thriller : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 49 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q44320 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 105:
 
Nafasi yake ikatoa msukumo kwa MTV kuanza kupiga wimbo wa "[[Billie Jean]]" na baadaye "[[Beat It]]", ambayo ilileta ujamaa na baadaye kusaidia wasanii wengine weusi wa muziki kupata ule mkondo wa kufahamika.<ref name="Jackson changes the rules of the music video">{{cite web |first=Edna |last=Gundersen |url=http://www.usatoday.com/life/television/news/2005-08-25-mtv_x.htm
|title=music videos changing places |publisher=''USA Today'' |date=25 Agosti 2005|accessdate=6 Aprili 2008}}</ref> MTV wamekana madai hayo ya ubaguzi wa rangi katika urushaji wa matangazo yao.<ref>[http://archive.is/20120525231341/findarticles.com/p/articles/mi_m1355/is_14_110/ai_n16807343/ Why it took MTV so long to play black music videos | Jet | Find Articles at BNET<!-- Bot generated title -->]</ref> Umaarufu wa video zake, kama vile "Beat It" na "Billie Jean", umesaidia idhaa ndogo-ndogo "kwenye ramani", na MTV wakazingatia kujikita katika pop na R&B.<ref name="Jackson changes the rules of the music video"/><ref name=ABCNews>{{cite web |url=http://abcnews.go.com/Entertainment/LegalCenter/story?id=464753&page=1|title=Why Are Michael Jackson's Fans So Devoted? |publisher=ABC News |date= 23 Februari 2005 |accessdate=6 Aprili 2007}}</ref>
[[Picha:Mjthriller.jpg‎|230px|thumb|left|Jackson katika mapinduzi ya video ya ''Thriller'']]