Tyra Banks : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 45 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q172303 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 7:
== Kazi yake ==
=== Mwanamitindo ===
Tyra alianza uanamitindo alipokuwa darasa la 11.<ref>{{cite web|url= http://www.nytimes.com/2008/06/01/magazine/01tyra-t.html?ei=5124&en=6a5e98a9634a54f6&ex=1369972800&partner=permalink&exprod=permalink&pagewanted=all|title= Banksable|first = Lynn|last = Hirschberg|publisher = New York Times|date= 1 Juni 2008}}</ref> Baadaye, alienda mjini [[Paris]] kwa ajili ya kufanya kazi hii. Katika wiki yake ya kwanza mjini [[Paris]], Tyra alipata umaarufu na mafanikio yaliyovunja rekodi kwani ilikuwa mwanzo wake katika uanamitindo. Yeye alishirikiana Anna Sui, CoverGirl, Badgley Mischka, Bill Blass, Chanel, Christian Dior, Dolce & Gabbana, H&M, McDonald's, Pepsi, Nike, Victoria's Secret na Yves Saint Laurent. Yeye ameonekana kwenye majalada maarufu kama ''Vogue'', ''Harper's Bazaar'', ''Cosmopolitan'' na ''Elle''. Mnamo 1997, Tyra alipokea tuzo la ''VH1 Award for Supermodel of the Year''. Mwaka huo huo, yeye alikuwa Mwamerika mweusi wa kwanza kutokea kwenye kasha ya jalada la ''Victoria's Secret''.<ref>http://archive.is/20120709034659/findarticles.com/p/articles/mi_m1077/is_n7_v52/ai_19383832/</ref>
 
=== Filamu na televisheni ===