Sarafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 76 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q41207 (translate me)
Mstari 1:
[[Picha:KSh10b.JPG|thumb|150px|Sarafu ya Kenya]]
 
[[Picha:ClaudiusII(CNG).jpg|thumb|Sarafu ya Tetradrachme (21mm, 8.4g) kutoka [[Iskenderia]]/[[Misri]] ya mwaka 268/9 inayomwonyesha [[Kaisari]] Mroma Claudius II.]]
'''Sarafu''' ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya [[pesa]]. Mara nyingi sarafu ina umbo la [[duara]] kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.