Kiafar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiafar''' ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia, Eritrea na Djibouti inayozungumzwa na Waafar. Mwaka wa 19...'
 
Djibouti --> Jibuti
Mstari 1:
'''Kiafar''' ni [[Lugha za Kiafrika-Kiasia|lugha ya Kiafrika-Kiasia]] nchini [[Ethiopia]], [[Eritrea]] na [[DjiboutiJibuti]] inayozungumzwa na [[Waafar]]. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiafar nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 906,000. Pia kuna wasemaji 99,200 nchini DjiboutiJibuti (mwaka wa 2006). Idadi ya Waafar nchini Eritrea haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiafar kiko katika kundi la Kikushi.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 8:
{{DEFAULTSORT:Afar}}
[[Jamii:Lugha za Ethiopia]]
[[Jamii:Lugha za DjiboutiJibuti]]
[[Jamii:Lugha za Eritrea]]