Studio ya kurekodia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 8:
* studio yenyewe yaani chumba au vyumba ambako wanamuziki wanaimba au kupiga ala zao.
* chumba cha dhibiti ambako fundi sauti na wasimamizi wanasikiliza na kurekodi wakimtazama mwanamuziki dirishani na kusikia sauti kupitia mitambo.
* Studio kubwa huwa pia na chumba cha pekee kwa ajili ya mitambo kwa kuzuia usumbuajiusumbufu kutokana na sauti za vipozaji vya kompyuta n.k.
 
Fundi sauti anatumia mitambo yake kupokea sauti na kuibadilisha kwa ajili ya rekodi za kuuzwa kwa kusahihisha marudio sauti, mahadhi na kadhalika; pia anaweza kufupisha rekodi au kuunganisha rekodi mbalimbali.